mkuki store Dar es Salaam Kinondoni Municipal

CLICKPAY

Dar es Salaam Kinondoni Municipal

GulioAfrica

Tanga Tanga City

View More

mwaka star look Arusha Arusha City

Choose a store below or Browse through 178 ads

Real Estate

Browse through 22 ads View all Ads

Choose your Regions

(Select your city to see local ads)

Ad ID: GA1xJZnSYU

House for rent

Individual Item

  • Kinondoni Municipal Dar es Salaam
  • February 14 / 2018

Used

350,000 TSH

Posted by

Mshati Kimara

Description

NYUMBA YA KUPANGA VYUMBA VYA KULALA VIWILI KIMOJA NI MASTA KIMARA KOROGWE VYUMBA VYA KULALA NI VIKUBWA SANA HASA YA MASTA NDIO BALALA MTOTO ANAWEZA HATA ENDESHA BIKE SEBULE PIA NI KUBWA SANA NA YENYE NAFASI YA KUTOSHA KILA KITU JIKO LIPO KUBWA NA LINA ZILE SHELFU ZAKE PIA MAJI YAPO NYUMBA INA PUBLIC TOILET HUMO HUMO NDANI NA BAFU MAJI FULL TIME YAPO NYUMBA HII PIA INAJITEGEMEA KILA KITU NA NDANI YA FENSI ZIPO MBILI KILA MTU KIMPANGO WAKE NYUMBA NI NZURI NA IPO KWENYE FENSI KUBWA ULINZI NI WA UHAKIKA KABISA HAINA USWAHILI NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KWA MIGUU DAKIKA SABA ZA UHAKIKA KUTOKA KITUONI LUKU YA UMEME NI KILA MTU YAKE NA MAJI PIA KILA MTU KIMPANGO WAKE NYUMBA INA PANGISHWA LAKI TATU NA NUSU MIEZI SITA UKIWA NA MITANO USIOGOPE NJOO NTAKUOMBEA NYUMBA INA NAFASI KUBWA SANA YA KUPAKI GARI NA YENYE UHAKIKA MKUBWA SANA WA MALI ZAKO KWA MELEZO ZAIDI WASILIANA NA MIMI MAPEMA DALALI MWAMINIFU TU KIMARA MWISHO WHAT S APP +255 719 /683 33 88 93 AU HII +255 684 88 14 29 WAHI MAPEMA NYUMBA HAIKAWII KUPATA WATEJA NYUMBA NI NZURI SANA NA IPO KARIBU NA BARAARA

Do you have something to sell ? It’s free to post your ad on Gulio Africa System

Post Your Ad

Similar Ads

Individual Item

House for rent

800,000 TSH

Show All Ads

Individual Item

House for rent

800,000 TSH

Show All Ads

Individual Item

House for Sale

65,000,000 TSH

Show All Ads

Individual Item

House for Sale

30,000,000 TSH

Show All Ads

Individual Item

House for Sale

49,000,000 TSH

Show All Ads

Individual Item

House for Sale

2,900,000 TSH

Show All Ads

Individual Item

House for Sale

55,000,000 TSH

Show All Ads

Individual Item

House for Sale

42,000,000 TSH

Show All Ads

Individual Item

House for slae

55,000,000 TSH

Show All Ads

Individual Item

HOUSE FOR RENT

7,700,000 TSH

Show All Ads

Individual Item

HOUSE FOR SALE

100,000,000 TSH

Show All Ads

Individual Item

HOUSE FOR RENT

2,400,000 TSH

Show All Ads

Individual Item

HOUSE FOR RENT

500,000 TSH

Show All Ads

Individual Item

HOUSE FOR RENT

350,000 TSH

Show All Ads